KAGERE ATUPIA MABAO 60 BONGO

MEDDIE Kagere ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22 ameshindikana kwa kuwa ni kinara wa mabao akiwa nayo mawili na amefunga yote akitokea benchi na kumfanya afikishe jumla ya mabao 60 ndani ya Ligi Kuu Bara tangu aanze kucheza Bongo. Kagere aliyeibuka ndani ya Simba msimu wa 2018/19, bao lake la kwanza kwa msimu wa 2021/22 alipachika mbele ya Dodoma Jiji akitumia pasi ya mshikaji wake Chris Mugalu na alifunga akitoka…

Read More

MATAJIRI AZAM FC WATUMA UJUMBE HUU YANGA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamebainisha kwamba wapo tayari kwa mchezo wa fainali dhidi ya Yanga inayonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Azam FC inanolewa na Msenegal, Yusuph Dabo ambaye ameongoza kikosi hicho kumaliza kikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Ni pointi 69 wamekomba Azam FC baada ya kucheza mechi 30 mchezo wao wa…

Read More

Bilioni 6 Kiganjani Mwako! Meridianbet Yaja na Promosheni ya Nguvu

Meridianbet, jina kubwa katika ulimwengu wa kubashiri Tanzania, limezindua promosheni kabambe ya Playson Short Races, mashindano ya kila usiku yanayowapa wachezaji nafasi ya kujinyakulia mamilioni kwa kasi ya ajabu. Kuanzia Septemba 9 hadi mwisho wa mwezi huu, mashindano haya yatafanyika kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki,…

Read More

LIVERPOOL YAPIGA 6-0 LEEDS UNITED

VIJANA wa Jurgen Klopp waliamua kushusha mvua za mabao mwa wapinzani wao Leeds United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England kwa kusepa na pointi tatu mazima. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Anfield ulisoma Liverpool 6-0 Leeds United. Ni Mohamed Salah alitupia mawili na yote kwa penalti dakika ya 15 na 35 huku…

Read More

GAMONDI ATUMA UJUMBE HUU JKT TANZANIA

LICHA ya kwamba mchezo wa mwisho kabla ya JKT Tanzania kushuka daraja na Yanga kukomba pointi tatu bado mabingwa hao watetezi wameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani hao. Kwenye mchezo wa mwisho kukutana na Yanga ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga na mabao yalifungwa na Yacouba Songne na Tuisila Kisinda. Kesho Agosti 29 Yanga wanatarajiwa kumenyana…

Read More

UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI WAMLIZA KOCHA MSIMBAZI

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa kuna tatizo kwenye eneo la ushambuliaji hasa katika umaliziaji wa nafasi ambazo wanatengeneza ndani ya uwanja jambo ambalo linawafanya wakose kufunga mabao mengi kwenye uwanja. Novemba Mosi 2024 Simba ilicheza mchezo wa kwanza ikiwa ugenini ndani ya Novemba na baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja…

Read More

CHEZA GODS SPIN USHINDE MAMILIONI

Mchezo wa kasino unaobamba kwasasa mjini ni Gods Spin ambao unapatikana pale kwenye tovuti ya Meridianbet, Ambapo umekua ukitoa washindi kedekede kila uchwao cheza sasa ushinde. Age of the Gods Spin a Win ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unaweza kukuletea ushindi wa kushangaza. Mchezo huu unakupa odds za kipekee na bonasi za kasino…

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI AZAM FC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC. Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi kati ya Singida Big Stars v Yanga mchezo unaotarajiwa kupangiwa tarehe kutokana na Yanga kuwa na kazi ya kusaka ushindi mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei…

Read More

MATESO LAZIMA YAGOTE MWISHO, MWANZO MPYA

MATESO makubwa ambayo yanatokea kwa viongozi kushindwa kutimiza ahadi zao yanawatesa mpaka mashabiki kutokana na matokeo kuwa mabaya. Kwa yale ambayo yamepita msimu wa 2022/23 ni muda wa kufanyia kazi ili kupunguza mateso kwa mashabiki pamoja na wachezaji katika kutimiza majukumu yao. Tunaona Mashujaa wamepanda wakiwaondoa Mbeya City kwenye mchezo wa mtoano lakini kuna baadhi…

Read More

KANOUNTE,ONYANGO KUIKOSA ORLANDO PIRATES KWA MKAPA

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute kesho Aprili 17 anatarajiwa kuwakosa wapinzani wao Orlando Pirates kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho. Sababu kubwa ya kiungo huyo mwenye bao moja kwenye hatua za makundi kuwakosa wapinzani hao ni mkusanyiko wa kadi tatu za njano ambazo alipata kwenye…

Read More