VIDEO:SIMBA ULAYA NA NENO LAKE HILI,PASI MILIONI
SHABIKI wa Simba, mzee Ulaya maarufu kama pasi milioni ameweka wazi kuwa mpira uliochezwa Uwanja wa Mkapa wakati ubao ukisoma Simba 1-0 RS Berkane Machi 13 ulikuwa mkubwa na walistahili ushindi huku akitupa dongo kimtindo kwa watani zao wa jadi.