NYOTA MPYA YANGA AMPA JEURI MTUNISSIA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ujio wa kiungo mshambuliaji,Mkongomani, Chico Ushindi, umeongeza ubora na ushindani wa namba katika kikosi chake. Nabi amesema kuwa licha ya kuwa na nafasi ya kumtumia Fei Toto, lakini yupo Chico ambaye anamudu kucheza nafasi hiyo namba kumi. Nabi amesema kuwa anaamini uwezo mkubwa alionao Chico kutokana na kumfahamu baada ya kumfuatilia…