SHABIKI wa Yanga amebainisha kwamba beki wa Simba, Henock Inonga amebahatisha kumkaba mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa,Aprili 30 wakati timu hizo zilipotoshana nguvu ya bila kufungana kwenye mchezo wa ligi.