
KOCHA WA YANGA ATOA TAMKO DHIDI YA AZAM KESHO!
“Hatuna muda wa kutosha wa kujiandaa na mchezo, lakini tupo tayari kushindana na Azam FC. Utakuwa ni mchezo wenye msisimko wa aina yake kwangu na kwa kocha wa Azam kwani namfahamiana nae kwa miaka 25, utakuwa wasaa mzuri kati yetu.“ “Naheshimu kila timu, Azam wana timu nzuri, wana kocha mzuri. Tutajitahidi kufanya kila linalowezekana kuhakikisha…