KITAWAKA KMC DHIDI YA NAMUNGO, CHIMBO LIPO HAPA MECHI ZA LEO

Je unajua kuwa Meridianbet ndio chimbo pekee linalotoa odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 kila siku?. Timu kibao za ushindi zinacheza leo kuhakikisha unaondoka na kitita cha maana. Bashiri sasa hapa.

Ligi kuu ya Saudia kama kawaida leo hii itaendelea ambapo Al-Shabab atamualika kwake AL-Wehda kusaka pointi 3 baada ya kushinda mechi yake iliyopita wakati mgeni yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho walipokutana, mgeni alipoteza. Je leo hii nani kushinda?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.43 kwa 6.07.

Mechi nyingine ni hii ya AL-Alkhdoud Club vs AL-Orobah mechi ambayo kila timu inahitaji alama 3 kwani timu zote nafasi walizopo bado sio nzuri hasa kwa mwenyeji ambaye yupo nafasi ya 17 ambayo ni ya pili kutoka mwisho baada ya kushinda mechi 1 pekee kati ya 8 alizocheza. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 tuu. Mwenyeji kushinda ana ODDS 1.76 kwa 4.01. Suka jamvi hapa.

Saa 3:00 usiku, Al-Ittihad ya kina Benzema watakipiga dhidi ya AL-Ahli Saudi FC ya kina Mahrez ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi hiyo, wakati wenyeji wapo nafasi ya 2. Msimu uliopita Ahli alishinda mechi zote mbili walipokuta. Je leo hii wenyeji kulipa kisasi kwa ODDS 2.30 kwa 2.60. Bashiri sasa.

Meridianbet inakupa urahisi wa kutusua mkwanja leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Pia leo hii ligi kuu ya Italia SERIE A inaendelea kwa michezo kadhaa Fiorentina baada ya kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita akiwa nyumbani leo hii atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Genoa aliyepoteza mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.71 kwa 4.70. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.

Nao Como 1907 watawaalika Lazio kwao majira ya 4:45 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee yaani mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni wake akiwa nafasi ya 6. Como ameshinda mechi 2 na mgeni kashinda 5 kati ya 9 alizocheza. Anayepewa nafasi ya kuondoka na ushindi leo hii ni Lazio akiwa na ODDS 2.50 kwa 2.84. Bashiri hapa sasa.

Huku kwa upande wa AS Roma baada ya kuchapika vilivyo sasa anarejea nyumbani kukiwasha dhidi ya Torino ambaye alipata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita. Timu hizi zimetofautiana pointi 4 pekee huku mgeni akibamizwa mchezo wa mwisho kukutana. 1.69 kwa 4.90 ndio ODDS za mechi hii.

Pia leo hii hii ligi kuu ya NBC Tanzania kuna mechi moja ya KMC dhidi ya Namungo ambayo kwasasa ina kocha mpya Juma Mgunda. Wanakino Boys wapo nafasi ya 9 huku Wauaji wa Kusini wapo nafasi ya 12. Wote wameshinda mechi 3 mpaka sasa. Je nani kushinda mechi yake ya 4 leo hii?. Meridianbet wamempa KMC nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.08 kwa 3.57. Jisajili hapa.