BEKI YANGA AMEPANIA JAMBO HILI

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Ibrahim Bacca ametangaza vita yake dhidi ya kinara wa utupiaji Bongo, Suleman Mwalimu wa Fountain Gate. Mwalimu katupia jumla ya mabao sita ndani ya ligi akiwa kinara kwenye eneo hilo anafuatiwa na Edger William mwenye mabao manne naye yupo ndani ya kikosi cha Fountain Gate. Bacca ndani…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU ZA MASHUJAA

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mashujaa wanahitaji pointi tatu muhimu. Simba Novemba Mosi 2024 itakuwa ugenini Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kusaka pointi tatu dhidi ya Mashujaa ambayo imetoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Fountain Gate. Fadlu amesema; “Ni mchezo muhimu…

Read More

LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI MATOKEO KWA USAHIHI

WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris. Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana amesema kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili…

Read More

SHINDA KITITA LEO KUPITIA RICH PANDA

Una nafasi ya kunyakua mkwanja leo kupitia mchezo wa Rich Panda ambao kwasasa umekua moja ya michezo ya Kasino inayopendwa na kutoa washindi wa mamilioni karibu kila siku, Hivo wewe mteja cheza mchezo huu leo uweze kushinda na kujiunga na timu ya mamilionea. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita…

Read More

YANGA HAO NAMBA MOJA KWENYE MSIMAMO

PACOME Zouzoua anefunga bao pekee la ushindi mbele ya Singida Black Stars dakika ya 67 kwa shuti kali la mguu wa kushoto akiwa nje kidogo ya 18. Sasa Yanga inakuwa namba moja baada ya kucheza mechi 8 mfululizo bila kufungwa ikishinda zote mazima ndani ya uwanja na pointi 24. Singida Black Stars inashushwa kutoka namba…

Read More

SINGIDA BLACK STARS DHIDI YA YANGA KIVUMBI

FT: UWANJA wa New Amaan Complex Ligi Kuu Bara Singida Black Stars 0-1 Yanga Pacome goal dk 64.   Kivumbi kwa wababe wawili ndani ya Uwanja ambao hawajapoteza mchezo huku kila timu ikibainisha kwamba inahitaji pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Singida Black Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo…

Read More

MDAKA MISHALE KARUDI, DUBE NDANI

KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amerejea langoni hivyo ataanza mbele ya Singida Black Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, New Amaan Complex kwa wababe wawili kuwa uwanjani kusaka pointi tatu. Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameanza na Dennis Nkane ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kuanza kikosi cha kwanza, Boka, Bakari…

Read More

MWAMBA FEI KAFUNGUA AKAUNTI YA MABAO

KIUNGO Feisal Salum amefunga bao la kwanza msimu wa 2024/25 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Oktoba 25 2024 waliposepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo huo. Mchezo huo jumla mabao matano yalifungwa ambapo mwamuzi alikuwa Ahmed Arajiga aliamua mapigo mawili ya penalti mojamoja kwa kila timu kutokana na wachezaji…

Read More

AHOUA BADO HAJAFIKIA KWENYE UBORA SIMBA

MTAMBO wa mabao Simba, Jean Ahoua bado haujawa fiti asilimia 100 kutokana na yale anayofanya kutofikia kwenye ubora mkubwa jambo ambalo linapaswa kufanyiwa kazi. Ahoua kahusika katika mabao saba ndani ya kikosi cha Simba, akiwa amefunga mabao matatu na pasi nne za mabao, alikosekana katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Mbeya kwa kuwa alipata maumivu…

Read More

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024, YAPO HAPA

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Said Mohamed aliyekuwa akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam amesema ufaulu wa jumla umeongezeka kutoka asilimia 80.58 iliyorekodiwa mwaka 2023 hadi asilimia 80.87 mwaka huu. “Watahiniwa 974,229 wamefaulu kwa kupata madaraja ya A, B na C, Aidha takwimu zinaonesha kuwa ufaulu katika masomo yote sita…

Read More

RUSHWA YA NGONO SABABU YA KUDUMAZA VIPAJI KWA WANAWAKE

SOKA la Wanawake linazidi kukua kila iitwapo leo kutokana na wachezaji kupata fursa ya kucheza kitaifa na kimataifa. Yote haya yanatokana na jitihada ambazo zinafanyika kila siku kwenye kupunguza changamoto huku rushwa ya ngono ikitajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazodumaza vipaji hivyo ni muhimu kwa wahusika kutoipa nafasi kuokoa vipaji vingi. Suala la ukatili kwa…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA NA MATOKEO

BAADA ya Coastal Union ya Tanga kushuhudia ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ukisoma Coastal Union 0-1 Yanga, Oktoba 26 2024 kuna kibarua kingine kinafuata leo. Oktoba 29 Coastal Union itawakaribisha Kagera Sugar mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15 jioni. Ken Gold mapema saa 8:00 mchana watakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Dodoma…

Read More