
RUSHWA YA NGONO SABABU YA KUDUMAZA VIPAJI KWA WANAWAKE
SOKA la Wanawake linazidi kukua kila iitwapo leo kutokana na wachezaji kupata fursa ya kucheza kitaifa na kimataifa. Yote haya yanatokana na jitihada ambazo zinafanyika kila siku kwenye kupunguza changamoto huku rushwa ya ngono ikitajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazodumaza vipaji hivyo ni muhimu kwa wahusika kutoipa nafasi kuokoa vipaji vingi. Suala la ukatili kwa…