YANGA YAIPIGA MKWARA AZAM FC

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawana hofu na wapinzani wao Azam FC licha ya timu hiyo kupata muda mrefu wa kufanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Dar Derby katika NBC Premier League. Ikumbukwe kwamba Azam FC mchezo wake uliopita ilicheza dhidi ya Ken Gold na kupata ushindi wa mabao 4-1 inakutana na…

Read More

Timiza Ndoto Zako na Meridianbet Sasa

Anza taratibu kutimiza ndoto zako na Meridianbet siku ya leo kwa kusuka jamvi lako la uhakika kwani mechi kibao zinapigwa leo na odds zao zikiwa ni kubwa sana. Jisajili na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Italia SERIE A, kuna mechi zenye kukupatia pesa Bologna kuchuana dhidi za US Lecce ambapo timu zote zimetoka kushinda mechi…

Read More

MASHUJAA WAPOTEZA MBELE YA SIMBA JIONI

MSHAMBULIAJI wa Simba, Steven Mukwala maarufu kama mshambuliaji mrefu kuliko goli, mipira ya juu haruki ni waa, leo Novemba Mosi amefunga bao kwa kurukia mpira wa juu. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika umesoma Mashujaa 0-1 Simba bao likifungwa na Mukwala kwa pigo la kichwa baada ya kuruka juu kuufuata mpira…

Read More

AUCHO KUIKOSA AZAM FC

KIUNGO wa Yanga, chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi atakosekana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 2 2024. Ni NBC wadhamini wa ligi yenye ushindani mkubwa huku Azam TV kwenye upande wa kurusha mubashara mechi zote za ligi msimu wa 2024/25. Sababu…

Read More

KOCHA WA YANGA ATOA TAMKO DHIDI YA AZAM KESHO!

“Hatuna muda wa kutosha wa kujiandaa na mchezo, lakini tupo tayari kushindana na Azam FC. Utakuwa ni mchezo wenye msisimko wa aina yake kwangu na kwa kocha wa Azam kwani namfahamiana nae kwa miaka 25, utakuwa wasaa mzuri kati yetu.“ “Naheshimu kila timu, Azam wana timu nzuri, wana kocha mzuri. Tutajitahidi kufanya kila linalowezekana kuhakikisha…

Read More

MASHUJAA YATUMA UJUMBE HUU SIMBA

BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kuwa linahitaji pointi tatu za mnyama kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC unaotarajiwa kuchezwa leo Novemba Mosi 2024, Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili ndani ya ligi kwa Novemba ambapo kila timu hesabu kubwa ni kusepa…

Read More

40 LUCKY SEVENS CHIMBO JIPYA LA MKWANJA

Machimbo ya kunyakua mkwanja ndani ya Meridianbet yamekua mengi sana kwa muda mrefu, Lakini chimbo jipya la kijanja kabisa la 40 Lucky Sevens mchezo wa Kasino ambao unaweza kukupa fursa ya kushinda kitita cha kutosha. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma “Game Art“. Utapenda mchezo huu…

Read More

BEKI YANGA AMEPANIA JAMBO HILI

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Ibrahim Bacca ametangaza vita yake dhidi ya kinara wa utupiaji Bongo, Suleman Mwalimu wa Fountain Gate. Mwalimu katupia jumla ya mabao sita ndani ya ligi akiwa kinara kwenye eneo hilo anafuatiwa na Edger William mwenye mabao manne naye yupo ndani ya kikosi cha Fountain Gate. Bacca ndani…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU ZA MASHUJAA

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mashujaa wanahitaji pointi tatu muhimu. Simba Novemba Mosi 2024 itakuwa ugenini Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kusaka pointi tatu dhidi ya Mashujaa ambayo imetoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Fountain Gate. Fadlu amesema; “Ni mchezo muhimu…

Read More

LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI MATOKEO KWA USAHIHI

WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya kubashiri nchini, LEONBET imetangaza kuwapa fedha watakaobashiri kiusahihi matokeo ya wagombea, Donald Trump na Kamala Harris. Meneja Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana amesema kuwa wameamua kupanua wigo wa kubashiri kwa wafuatiliaji wa siasa ili…

Read More