YANGA YAINGIA MCHECHETO KUWAKABILI DODOMA JIJI
KUELEKEA mchezo wa CRDB Federation Cup raundi ya nne kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, mabingwa watetezi wa taji hilo wameonekana kuwahofia wapinzani wao kutokana na uimara wao. Pengine ni mtego kwa Dodoma Jiji kwa kuwa Yanga wakiwa na jambo lao huwa hawana hofu zaidi ya kucheza kwa umakini kutafuta ushindi. Aboutwalib Mshery kipa…