AZIZ KI: SINA MATARAJIO YA KUONDOKA YANGA KWA SASA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa mikwaju ya penalti hatua ya robo fainali, ameandika katika ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwashukuru mashabiki kwa kuwa nao pamoja kwenye safari ya michuano hiyo msimu huu 2023/2024. KI ameandika; “Tumeonyesha…