NGOMA NI NZITO KIMATAIFA KETE ZA UGENINI
BAADA ya Machi 12 2024 droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kupangwa ambapo kila timu iliyokuwa hatua ya robo fainali ilipata fursa ya kutambua kigogo yupi atakutana naye ndani ya uwanja kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza. Ipo wazi kwamba Simba kete yake ilikuwa dhidi ya Al Ahly ya Misri mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku…