SPORTPESA DABI MLANGONI, RATIBA HII HAPA
KAZI bado inaendelea ndani ya uwanja kwa kila timu kusaka pointi tatu baada ya dakika 90. Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili unaendelea kwa kila timu kupambania kufikia malengo ya kupata pointi tatu. Ijumaa ya Aprili 12 kuna mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa ni Tanzania Prisons v KMC huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…