Home Sports UTACHEKA HII NA UTAIPENDA: ALI KAMWE NA AHMED ALLY USO KWA USO

UTACHEKA HII NA UTAIPENDA: ALI KAMWE NA AHMED ALLY USO KWA USO

AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari Simba na Ally Kamwe Meneja wa Idara ya Habari Yanga wote ni washkaji kwenye maisha ya kawaida lakini kila mmoja anafanya kazi kwenye taasisi kubwa kutimiza majukumu yake.Hivi karibuni walikutana uso kwa uso na kuzungumza mpango kazi kuhusu kuibua vipaji

Previous articleLIGI YA MABINGWA ULAYA MOTO UTAWAKA LEO
Next articleKIKOSI CHA CAF KUSHUSHWA KUWAKABILI DODOMA JIJI