Home Sports KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA DODOMA JIJI

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA DODOMA JIJI

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga wanatupa kete yao dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza namna hii:-

Djigui Diarra

Fred

Nondo

Bacca

Maxi

Kibabage

Sure Boy

Mudathir Yahya

Mzize

Aziz KI

Okra

Hawa hapa wachezaji wa akiba wa Yanga

Mshery, Kibwana, Farid, Aucho, Mkude, Shekhan, Makudubela, Nkane, Guede.

Previous articleMIAMBA HAWA KATIKA RADA ZA SIMBA
Next articleYANGA HAO ROBO FAINALI