
SIMULIZI YA MWANAMKE ALIYEMPAMBANIA MUME WAKE
SIMULIZI ya mwanamke aliyempambania mume wake Kila mwanamke hufurahia furaha katika ndoa yake kila wakati. Kwenye ndoa ama kwa hakika huandamana na vitu vingi kila mara. Mapenzi bila ya tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi huleta wapenzi kukosana kila wakati. Kwa jina ni Patricia kutoka kwenye kaunti ya Nairobi. Tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu…