
YANGA YAANZA KWA MAJANGA TENA
KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kuwakilishwa na maofisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa. Mkutano huo kwa mujibu wa taarifa imeeleza kuwa ulifanyika Novemba 2, Uwanja wa Mkapa. Adhabu hiyo imetolewa kwa kwa uzingativu wa kanuni ya 17,(2) na…