
FEISAL:SUTI YANGU MBONA IPO FRESH,MWAKALEBELA ATAJWA
KIUNGO wa Yanga, fundi wa mipira migumu inayowashinda makipa Bongo akiwa nje ya 18, mzawa Feisal Salum amesema kuwa suti yake aliyotupia ni kali huku watu wakizusha kwamba ameazima kwa Mwakalebela, (Fredrick). Heshima kubwa ilikuwa kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye ni mwanafamilia, mzalendo anayependa michezo alikuwepo kwenye usiku wa tuzo hizo na alipata…