
YANGA HAWATAKI KABISA DENI WAMALIZANA NA MORRISON
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa tayari umemlipa kiungo wao zamani Mghana, Bernard Morrison faini ya Sh12Mil kutoka Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ‘CAS’ huku ukiwataka mashabiki wa timu hiyo kupotezea majibu ya hukumu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu CAS itangaze hukumu ya Morisson na Yanga ambayo ilishindwa huku ikitakiwa kumlipa kitita cha Swis 5,000 (Sh12,396,787). Katika hukumu hiyo iliyokuwa na kurasa 29 imeeleza kuwa ushahidi uliotolewa na…