
YANGA YAACHANA NA KIUNGO MAZIMA
YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kusaini mkataba mpya ambaye ni raia wa Ghana, Geofrey Nyarko. Nyota huyo alijiunga na Yanga baada ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili akiwa mchezaji huru kwa ajili ya kufanya majaribio ndani ya kikosi hicho….