
JINA LA AUSSEMS LATAJWA NAMUNGO
IMEELEZWA kuwa benchi la ufundi la Namungo FC litafumuliwa hivi karibuni ili kuweza kupata kocha mpya kwenye kikosi hicho. Habari kutoka ndani ya Klabu ya Namungo zinasema kuwa viongozi wameanza kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Simba na sasa anaifundisha AFC Leopards ya Kenya, Patrick Aussems kuona namna gani watampata. Inatajwa kuwa Namungo tayari wamemtumia…