
YONDANI,NCHIMBI NA YONDANI NI WANAGEITA GOLD
KLABU ya Geita kwa sasa haitaki utani baada ya kukamilisha usajili wa wachezaji wakongwe na wenye uzoefu kwenye fani. Miongoni mwa wachezaji ambao watakuwa na uzi wa timu hiyo ni pamoja na nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu…