WAAMUZI HAWA MAAMUZI YAO NI PASUA KICHWA

WAAMUZI wengi Bongo wamekuwa pasua kichwa hasa pale wanapopewa jukumu la kusimamia sheria 17 kwenye mechi zinazowahusu Simba na Yanga kutokana na rekodi zao kuwa na utata. Asilimia kubwa waamuzi hao wameonekana kushindwa kwenda na kasi ya mchezo ama kufanya vizuri mwanzo ila ikifika mwisho wanaboronga mazima kwa mujibu wa rekodi. Kwa mujibu wa Mwenyekiti…

Read More

ISHU YA FEISAL NA YANGA IMEFIKIA HAPA

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 7,2023 na TFF baada ya jana Januari 6,2023 shauri hilo kusikilizwa makao makuu ya TFF. Kwenye taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi kwa…

Read More

KAZE:TUNAZITAKA POINTI TATU ZA MBEYA KWANZA

 CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Mbeya Kwanza ambao unatarajiwa kuchezwa leo Mei 20, Uwanja wa Mkapa. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi zao 60 baada ya kucheza mechi 24 wanakibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Mbeya Kwanza ambao…

Read More

VIDEO:YANGA WATAMBA,TABU IPO PALEPALE

MZEE wa Utopolo shabiki wa Yanga kutoka Iringa mkazi wa Majohe amebainisha kuwa kugawana pointi mojamoja na watani zao wa jadi Simba maana yake ni kwamba tabu ipo palepale kwa kuwa wamewazidi kwa pointi zilezile ambazo walikuwa wamewazidi awali. Jumla ya pointi 55 wamefikisha Yanga baada ya kucheza mechi 21 huku Simba ikiwa na pointi…

Read More

YANGA YATAMBULISHA NYOTA WAPYA WATATU

WINGA Dennis Nkane aliyekuwa akikipiga ndani ya Biashara United sasa ni rasmi atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga. Nyota anakuwa wa tatu kutambulishwa rasmi ndanj ya Yanga baada ya Sure Boy na Aboutwalib Mshery kutambulishwa. Ni zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Yanga kwa kuwa alitambukishwa Januari Mosi 2022. Dili lake ni la miaka…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wanahitaji pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi 18 ni pointi 48 wamekusanya wakiwa nafasi ya kwanza wanatarajia kumenyana na Azam FC Jumatano ya Aprili 6,2022. Kwenye msimamo Azam FC ipo nafasi ya tatu na pointi 28…

Read More

ASEC YATOA MASHARTI ILI… SANKARA ASAINI YANGA

KLABU ya Asec Mimosas ya Ivory Coast imekubali kufanya mazungumzo rasmi na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wake, Sankara Karamoko mwishoni mwa msimu huu. Hata hivyo mazungumzo hayo ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 yatalenga zaidi usajili wa dirisha kubwa na sio hili dogo. Kwa mujibu wa chanzo kutoka Yanga kimeliambia…

Read More

YANGA BINGWA MARA 30 LIGI KUU BARA

YANGA chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2023/24 baada ta kufikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote Bongo. Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibw Sugar umewapa taji hilo la 30 wakitwaa mara tatu mfululizo wakiwa ni watawala katika zama za sasa. Licha ya Mtibwa Sugar kuanza kupata…

Read More

AKILI KUBWA MZUNGUKO WA PILI MATUMIZI YA NGUVU NI MAUMIVU

MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…

Read More