EURO 2024: KUNDI E BADO NI NGOMA NI NGUMU, KILA TIMU INA POINTI TATU

Timu ya taifa ya Ubelgiji imeweka hai matumaini ya kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kuitandika Romania 2-0 katika mchezo wa raundi ya pili wa Kundi E uliopigwa katika dimba la RheinEnergieStadion (Cologne).

FT: Ubelgiji πŸ‡§πŸ‡ͺ 2-0 πŸ‡·πŸ‡΄ Romania
⚽ Tielemans 2’
⚽ De Bruyne 80’

Kundi E bado ni ngoma ni ngumu, kila timu ina pointi tatu baada ya mechi mbili za hatua ya makundi. Mechi za mwisho zitaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya 16 bora.

MECHI ZA MWISHO

Slovakia πŸ‡ΈπŸ‡° vs πŸ‡·πŸ‡΄ Romania

Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ vs πŸ‡§πŸ‡ͺ Ubelgiji