EURO 2024: URENO YATINGA HATUA YA 16 BORA YA KOMBE LA MATAIFA ULAYA

Timu ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya, EURO 2024 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Uturuki katika dimba la Signal lduna Park (Dortmund).

FT: Uturuki  0-3 Ureno
⚽ Silva 22’
⚽ Akaydin (og) 29’
⚽ Bruno 56’

MSIMAMO KUNDI F
🇵🇹 Portugal — mechi 2 — pointi 6
🇹🇷 Uturuki — mechi 2 — pointi 3
🇨🇿 Czech — mechi 2 — pointi 1
🇬🇪 Georgia — mechi 2 — pointi 1