
LUIS MIQUISSONE ABEBA SUPER CUP AFRIKA
LUIS Miquissone nyota wa zamani wa Simba anaingia katika rekodi ya wachezaji waliosepa na taji la Super Cup baada ya timu yake mpya kushinda. Mchezo uliochezwa Uwanja wa Al Rayyan miamba Al Ahly na Raja Casablanca walitoshana nguvu kwa kufungana bao mojamoja ambapo kwa Al Ahly Taher Mohamed alisawazisha bao dakika ya 90 ambalo Yasser…