Unataka Kuwa Milionea? Cheza Kasino Sasa

Winning Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Jisajili na Meridianbet ushinde Mamilioni.   Unapocheza kasino ya mtandaoni hii ukipata bahati ya kupata alama nyekundu ya…

Read More

CONTE ATAMBULISHWA NDANI YA TOTTENHAM

BREAKING:Antonio Conte amerejea ndani ya Ligi Kuu England na atakuwa ni Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Hotspur inayoshiriki ligi hiyo pendwa duniani.   Conte anachukua mikoba ya Nuno Espirito ambaye alichimbishwa katika kikosi hicho jana Novemba kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kufikia malengo ya timu hiyo. Mazungumzo…

Read More

VITA YA MABINGWA NA WAJELAJELA

INGEKUWA ni mchezo wa Ligi Kuu Bara tungesema ni tatu zinasakwa ndani ya tatu kwa wababe wawili ambao watavuja jasho ndani ya dakika 90. Bahati nzuri ni hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation ambapo yule atakayetunguliwa inakuwa ni kwaheri ya kuonana wakati ujao. Ni vita ya mabingwa watetezi Yanga chini ya Kocha…

Read More

YANGA WAICHAPA RUVU SHOOTING MABAO 3-1 KWA MKAPA

KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Novemba 2,2021. Alikuwa ni Shaban Msala alipachika bao kwa Ruvu Shooting dakika ya 8, kwa shuti kali akiwa nje ya 18 lililompoteza mazima kipa namba moja Djigui Diarra. Kipa Mohamed Makaka aliweza kuwa imara…

Read More

VIDEO:SOPU ALIYEFUNGA HAT TRICK MBELE YA YANGA HUYU HAPA

KIUNGO mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ameweka wazi kwama walikuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wa fainali dhidi ya Yanga jamo lililowafanya wacheze kwa kujituma huku akibainisha kwamba kilichowafanya washindwe kufanya vizuri ni mwendo wa majibizano hasa kila wanapofunga na wapinzani wao walikuwa wanafunga Julai 2,2022. Nyota huyo alifunga hat trick kwenye mchezo huo…

Read More

SIMBA:MAGUMU TUNAYOPITIA YATAKWISHA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa magumu ambayo wanayapitia kwa sasa yana muda kwa kuwa wanapambana kurudi kwenye ubora uliozoeleka. Ikiwa imecheza mechi tano imeshinda mechi tatu na kukusanya sare mbili ndani ya msimu wa 2021/22 na kinara wa utupiaji ni Meddie Kagere mwenye mabao mawili. Akizungumza na Spoti Xtra, Matola alisema kuwa…

Read More

NYOTA WATATU WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA

Bruce Kangwa, Nivere Tigere na Prince Dube wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi kuu Bara ujao dhidi ya Simba. Nyota hao wote watatu wameanza mazoezi katika timu ya taifa ya Zimbabwe. Simba na Azam FC zinatarajiwa kumenyana Januari Mosi 2022 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi mwaka mpya. Nyota hao wote wapo nchini Zimbabwe tayari kwa…

Read More

NABI AWAPA MAAGIZO WACHEZAJI WAKE

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi wanazopata.   Nabi ametoa kauli hiyo baada ya mazoezi ya juzi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam unaotarajia kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar….

Read More

YANGA SC YAZITAKA TATU ZA TANZANIA PRISONS

KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Miloud Hamdi amesema kuelekea kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Tanzania Prisons msimu wa 2024/25 ambacho wanahitaji ni pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Yanga SC itakaribishwa na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine, Juni 18 2025 saa 10:00 ikiwa ni…

Read More

AZAM FC WAITULIZA IHEFU

USHINDI wa Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu unawapa pointi tatu mazima huku mwamba Feisal Salum akifikisha mabao 14. Azam FC wameituliza Ihefu kwenye mchezo wa ligi na kusepa na pointi tatu mazima ambazo zinawaongezea kasi kuufukuzia ubingwa wa ligi msimu wa 2023/24. Ni dakika ya 13 alipachika bao hilo…

Read More

MUDATHIR AAHIDI MAPAMBANO YANGA

KIUNGO mpya wa Yanga, Mudathir Yahya, ameweka wazi kuwa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, kina wachezaji wazuri jambo linalomfanya azidi kupambana. Ingizo hilo jipya ndani ya Yanga, mchezo wake wa kwanza kucheza ilikuwa dhidi ya KMKM katika Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo aliingia dakika ya 77 kuchukua nafasi ya Clement Mzize. Kwenye…

Read More

VIDEO:HAJI MANARA KUOMBA MBINU KWA SIMBA

HAJI Manara, Mtanzania ambaye ni balozi wa Timu ya Taifa ya Burundi, leo Juni 6,2022 amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon kwa timu ya Taifa ya Burundi dhidi ya Cameroon iliyo kundi C unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Juni 9 ni wakati wa Watanzania pamoja na Warundi kuungana kuweza kuishangilia Burundi. Pia amesema…

Read More

MO KUTOA BILIONI 2 UJEZI WA UWANJA MPYA

MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba  ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…

Read More