
MABAO SABA KUIKOSA TANZANIA PRISON LEO
WAKATI leo kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikitarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela itakosa huduma ya nyota wake wanne ambao wamehusika kwenye jumla ya mabao saba. Yanga yenye pointi 20 ipo nafasi ya kwanza na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 12 na ukuta…