
GUARDIOLA AWAPA ONYO MASTAA WAKE
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amewapa onyo mastaa wake Jack Grealish na Phil Foden kutokana na tabia zao za kupenda bata wakati wanajua kwamba wanamajukumu kwenye timu. Nyota hao wawili walishinda klabu usiku wakati wakijua kwamba kuna mchezo dhidi ya Newcastle United hali iliyopelekea kutoweza kupangwa kwenye mchezo huo. Wakati City ikishinda mabao…