
SUALA LA UWANJA, YANGA WAIJIBU SIMBA
MARA baada ya Simba kuanza harakati za ujenzi wa uwanja mpya kwa kuanzisha rasmi mchango kwa ajili ya uwanja huo, uongozi wa Yanga ni kama umejibu mapigo kwa watani zao mara baada ya kuweka wazi mipango yao ya ujenzi wa uwanja. Simba tayari wameshaweka hadharani mchakato wa uchangiaji wa ujenzi wa uwanja huo kupitiasehemu mbalimbali jambo ambalo limeibua gumzo nchini ambapo tayari wapenzi na wanachama wakewameshaanza kuichangia timu…