
AZAM FC YASHINDA KOMBE LA MAPINDUZI
KIUNGO mpya wa Azam FC Ibrahim Ajibu ameanza kazi na uzi huo katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi na alishuhudia timu hiyo ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Meli 4 City. Kipindi cha kwanza timu zote mbili zilishuhudia bao moja pekee lililofungwa na Chilunda dakika ya 13 na lilidumu mpaka dakika ya 45….