SIMBA YASAHAU MATOKEO YA BOTSWANA,KAZI KESHO
SHOMARI Kapombe, beki wa Klabu ya Simba ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana huku wakiwa wamesahau matokeo ya mchezo wao uliochezwa nchini Botswana. Oktoba 17 kikosi hicho kiliweza kushinda mchezo wa mtoano jambo ambalo linawapa nguvu ya kujiamini kuelekea kwenye mchezo…