
VIDEO:BEKI WA YANGA SHOMARI KIBWANA AFUNGUKIA KUHUSU MAJERAHA YAKE
SHOMARI Kibwana beki wa Klabu ya Yanga amezungumzia kuhusu majeraha yake pamoja na siri ya kuweza kuwazuia Simba walipokutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
SHOMARI Kibwana beki wa Klabu ya Yanga amezungumzia kuhusu majeraha yake pamoja na siri ya kuweza kuwazuia Simba walipokutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeendelea kuivutia kasi Azam FC. Mchezo wao wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Januari Mosi 2022 na utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili wa ushindani kwa mwaka huo mpya. Leo Desemba 29 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi Uwanja wa Bunju Complex ikiwa ni…
BREAKING: ABOUTWALIB Mshery ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya kuungana na timu hiyo kwa kazi kwa msimu wa 2021/22. Anaibuka ndani ya Yanga akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar wakati huu wa usajili wa dirisha dogo ambalo limezidi kushika kasi kwa timu za Bongo Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa ndani ya Yanga…
WAKATI Yanga ikitajwa kwamba imemalizana na kipa namba moja wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Msheri kujiunga na Yanga, mabosi wa Mtibwa Sugar wameweka wazi kuwa badO mchezaj huyo ni mali yao na hawajamuuza. Hapo awali, Yanga ilizungumza na Msheri na Mtibwa kuhusu kumvuta mitaa ya Jangwani lakini Mtibwa waliweka ngumu wakidai kuwa bado wanamuhitaji kipa huyo…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hajapendezwa na matokeo ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa mbele ya Leicester City. Usiku wa kuamkia leo Desemba 29 ubao wa Uwanja wa King Power ulisoma Leicester City 1-0 Liverpool. Bao la Ademola Lookman dakika ya 59 lilitosha kuwapa pointi tatu mazima. Licha ya Liverpool kupiga jumla…
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa Simba ipo imara na hesabu kubwa ni kutimiza malengo waliyojiwekea kutokana na wachezaji walionao kujituma. Kwa sasa Simba inapambana kuweza kutetea taji lake ililotwaa msimu uliopita wakivutana kwa kasi na vinara wa ligi ambao ni Yanga wenye pointi 26 huku Simba wakiwa nafasi ya pili na pointi 21….
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
Ratiba ya michezo ya Simba SC #TotalEnergiesCAFCC
HIVI ndivyo makundi ya Kombe la Shirikisho namna ambavyo yamepangwa leo Desemba 28,Misri:- Kundi A ni Pyramids FC,CS Sfaxen, Zanaco na Ahli Tripoli. Kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad. Kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho. Simba kutoka Tanzania ipo kundi D…
Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya kujenga misuli ?️♂️ tayari kwa mapambano ya mchezo wao wa Ijumaa dhidi ya Dodoma Jiji???
Bonasi, Mizunguko ya bure na Jackpoti kibao kwenye sloti ya Foxpot. Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti hii ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama ya malipo ya Wild. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ni sehemu sahihi kwa…
RASMI uongozi wa Simba umethibitisha kuachana na Hitimana Thiery ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu hiyo. Awali ilikuwa ni tetesi kwamba huenda Simba ikampa mkono wa kwa heri kocha huyo ambaye alikuja kuchukua majukumu ya Didier Gomes kwenye mashindano ya CAF. Kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo ambaye huyu ana vigezo vinavyotakiwa…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ligi sio nyepesi kwa kuwa kila timu imejipanga kupata pointi tatu. Kwenye msimu wa 2021/22 mpaka sasa Yanga haijapoteza mchezo hata mmoja baada ya kucheza mechi 10 ikiwa imeshinda nane na kulazimisha sare mechi mbili. Mchezo wake uliopita ilikuwa mbele ya Biashara United ambapo ilishinda mabao 2-1…
IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery kocha msaidizi wa Simba amefikia makuliano ya kuachana na timu hiyo. Kocha huyo alijiunga na Simba kwa ajili ya kuweza kuiongoza katika mashindano ya kimataifa kutokana na aliyekuwa kocha wa wakati huo Didier Gomes kutokidhi vigezo vya CAF. Kwa sasa timu ya Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco mwenye…
LEO Desemba 28,2021 makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari timu ambazo zimetinga kwenye hatua ya makundi yapo namna hii:-
LEO droo ya makundi imepangwa nchini Misri kikosi cha Simba kimepangwa kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Pia timu nyingine ni pamoja ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho. Pia kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho….
LEO Desemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo timu nne zinatarajiwa kushuka uwanjani kusaka pointi tatu. Ni Coastal Union ikiwa imetoka kushinda mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City itasaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania. Mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…