YANGA YAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KAZI

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi nyota Ibrahim Bacca kuwa ni njano na kijani kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22. Nyota huyo wa zamani wa KMKM,Malindi na Taifa Jang’ombe sasa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Anaungana na Salim Aboubakhari, ‘Sure Boy’,Dennis Nkane,Aboutwalib Mshery ambao ni nyota…

Read More

GEITA GOLD KAMILI KUIVAA DODOMA JIJI

KIKOSI cha Geita Gold kimeshatia timu makao makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Januari 15 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Geita Gold ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda ligi msimu huu na imeweza kufanya usajili wa nyota…

Read More

FAINALI DUME,DAKIKA 45 AZAM FC 0-0 SIMBA

NGOMA kwa sasa ni mapumziko mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Uwanja wa Amaan. Dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha ngwe ya kwanza bila kuweza kufungana. Ni bonge moja ya mchezo umechezwa Uwanja wa Amaan ambapo timu zote zinaonesha kwamba zinasaka Kombe la Mapinduzi. Hakuna kadi…

Read More

KITAWAKA MAPINDUZI CUP LEO, SIMBA NA AZAM

MADOA MADOA yote yaliyojificha yatajulikana leo kutokana na balaa ambalo linakwenda kufanywa na nyota hawa ambao wanapewa nafasi ya kukinukisha katika fainali ya Kombe la Mapinduzi. Hapa Spoti Xtra linakuletea nyota wa Simba na Azam FC ambao wanatarajiwa kusaka mbabe atakayesepa na taji hilokatika fainali itakayochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. SIMBA SCAishi ManulaNi kipa…

Read More

SALAH AVUNJA UKIMIYA LIVERPOOL

MOHAMED Salah amesema hatma yake ndani ya Liverpool iko mikononi mwaka bodi ya klabu hiyo, ila yeye anapenda kuendelea kubaki Anfield. Ishu ya Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool imekuwa ikizungumzwa tangu mwaka jana lakini hakuna muafaka uliofikiwa mpaka sasa. Salah anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya miezi 18 ijayo katika klabu hiyo na…

Read More

DTB YAPANIA KUZIPIKU SIMBA, YANGA

KUFUATIA mwenendo mzuri wa usajili waunaofanywaDTB, mwenyekiti wa klabu hiyo, Ibrahim Mirambo amejigambakuwa, wamepania zaidi kuhakikisha wanamsajilimchezaji yeyote hata awe chaguo la Simba au Yanga. DTB ndiyo vinara wa Championship ambapo hadi sasa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 36,walizozivuna kwenye michezo 14. Akizungumza na Spoti Xtra, Mirambo ameweka wazi kuwa:“Bado tunafanya usajili,…

Read More

KMC YAFUNGUKIA USAJILI WAO

ZIKIWA zimebaki siku mbili kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, KMC FC kupitia ofisa habari wake, ChristinaMwagala wameweka wazi mchakato wao wa usajili. Dirisha dogo la usajili lilifunguliwa Desemba 16, 2021 kwa kushirikisha timu za Ligi Kuu Bara, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2022. Akizungumza na…

Read More

YANGA YAIPELEKEA MZIKI MNENE COASTAL UNION

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kikosi cha Yanga kimerejea kambini jana Jumatano ambapo uongozi umefunguka kuwa utaenda kucheza mchezo huo wakiwa na kikosi kamili ili kujihakikishia ubingwa. Yanga ilirejea Dar juzi Jumanne ikitokea Zanzibar baada ya kutolewa hatua ya nusu fainali ya…

Read More

SIMBA WATAJA SIKU YA KUMPOKEA CHAMA

UONGOZI wa Simba SC, umepanga kumtambulisha Clatous Chama siku ya mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo haujafungwa Januari 15, mwaka huu. Chama ambaye aliitumikia Simba kwa misimu mitatu, aliondoka kikosini hapo mwishoni mwa msimu wa2020/21 na kutimkia RS Berkane ya Morocco. Kwa muda mrefu, kumekuwa na tetesi za Simba kuhitaji kumrudisha kundini kiungo huyo…

Read More