YANGA YAANZA MAZUNGUMZO NA CHAMA
UONGOZI wa Yanga umeanza rasmi mazungumzo na wakala wa kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chamaanayekipiga Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa Yanga kuanza mazungumzo na Berkane inayommiliki baada ya kumnunua kutoka Simba kwa dau la Sh 1Bil. Mzambia huyo alijiunga na Berkane katika msimu huu baada ya timu hiyo kufikia muafaka mzuri na Simba kwa ajili ya kumnunua. Mmoja wa mabosi wa Yanga, amesema kuwa,…