SIMBA YAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI
MOHAMED Hussein,nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuendelea kuwa pamoja nao kwenye mechi zote wanazocheza ili kuwapa nguvu ya kupambana. Simba inapambana kusaka taji la ligi ambalo lipo mikononi mwa Yanga ililotwaa kwa msimu wa 2021/22 bila kupoteza kwenye mechi 30 na ilikusanya pointi 74. Imerejea Dar kutoka Mbeya ilipokuwa…