MTIBWA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema wanahitaji kupata ushind kwenye mechi zote ambazo watacheza ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Yanga. Mtibwa Sugar imeanza msimu kwa mwendo wake ikiwa imecheza mechi tatu, ushindi ni kwenye mechi mbili ina sare moja pointi zake kibindoni ni 7. Kifaru amesema kuwa wanatambua wana kazi…