AIR MANULA ANATUNGULIWA TU MABAO YA MBALI
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula hana bahati anapokutana na Yanga kwenye mechi za ligi kutokana na kutunguliwa mabao magumu na wapinzani hao wakiwa nje ya 18. Manula msimu wa 2022/23 amekaa langoni kwenye mechi 6 akiyeyusha dakika 540 akiwa hajafungwa kwenye mechi nne na ni mechi mbili kufungwa ilikuwa dhidi ya KMC alipofungwa…