NABI ABAINISHA UGUMU ULIOPO
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kuwakabili wapinzani wao. Kocha huyo amebainisha kuwa ratiba ni ngumu ndani ya ligi hivyo wanapambana nayo kwa ajili ya kupata matokeo. Nabi anaingia uwanjani akiwa na kumbukumbu ya kukusanya pointi moja mbele ya Simba…