MABEKI YANGA KUMKAZIA MOSES PHIRI KWA MKAPA
MABEKI wa Yanga wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Moses Phiri kupata nafasi ya kuwafunga. Simba kwa sasa wanatamba na ubora wa mshambuliaji wao Moses Phiri ambaye ameifungia timu hiyo mabao 4 katika michezo 5 ya ligi kuu msimu huu, jambo ambalo ni tishio kuelekea mchezo wa leo…