NDAYIRAGIJE AFUNGASHIWA VIRAGO GEITA GOLD
ETIENNE Ndayiragije anakuwa kocha wa kwanza kuchimbishwa ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ambapo alikuwa ni Kocha Mkuu wa Geita Gold. Taarifa iliyotolewa na Geita Gold imeeleza kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili baada ya kocha huyi kushindwa kufikia malengo ambayo yapo kwenye makubaliano. Kwa sasa timu hiyo ambayo jana Oktoba 23…