
MANCHESTER UNITED NDANI YA TANO BORA
RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United ameshuhudia kikosi chake kikisepa na pointi tatu mazima mbele ya Norwich City. Ni mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford huku Cristiano Ronaldo akipachika mabao yote matatu na kusepa na mpira wake. Ilikuwa dk ya 7,32 na 76 hayo yalitosha kuwapa furaha United ambayo bado…