
SIMBA:HATUTARUDIA MAKOSA,TUTAFUZU NUSU FAINALI
BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC wamesema wanakwenda Afrika Kusini kumalizia kazi na wanaamini kwamba hawatarudia makosa. Jumapili, Aprili 17,Simba iliibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumapili ijayo watarudiana nchini Afrika Kusini ambapo…