
BURUDANI YA SOKA INANOGA, MAN UTD vs ARSENAL, BAYERN vs BORUSSIA DORTMUND KITAWAKA WIKIENDI HII
Burudani ya soka inanoga zaidi wakati huu ambao msimu unaelekea ukingoni. Timu zinapambana kumaliza msimu kwenye nafasi za juu, nani atatusua na nani atavurunda? Mchongo wa wiki upo hivi; Ile burudani ya kuisaka Top 4 kwenye EPL ndio inapamba moto Jumamosi hii. Arsenal kuwaalika Manchester United ndani ya Emirates Stadium. Ni muendelezo wa big match…