
HESABU ZA YANGA NI KWENYE UBINGWA
NAHODHA wa kikosi cha Yanga ambaye ni beki Bakari Mwamnyeto amesema kuwa lengo lao kubwa kwa msimu huu wa 2021/22 ni kuweza kutwaa mataji ili kurejesha furaha kwa mashabiki wa Yanga. Ndani ya ligi Yanga ambao ni vinara wa ligi walikuwa ni mashuhuda misimu minne mfululizo ubingwa ukielekea kwa watani zao wa jadi ambao ni…