
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
LICHA ya kuweza kuongoza mpaka dakika ya 87,Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro imekwama kusepa na pointi tatu mazima. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Azam FC ambao ni wa ligi umechezwa leo Aprili 29,2022 Uwanja wa Nyankumbu. Ni mabao ya George Mpole dk ya 26 na anafikisha bao la 11 ndani ya…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wamewasisistiza wachezaji wote wa timu hiyo kuweza kucheza kwa umakini ili kupata matokeo chanya mbele ya Simba.
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema anatambua mchezo wao dhidi ya Yanga utakuwa mgumu ila watajitahidi kupata ushindi ili kuwapa furaha mashabiki. Kesho Aprili 30,2022 Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ligi kati ya Yanga v Simba
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kubadilisha mbinu dhidi ya Simba kutokana na ubora wa watani wao hao wa jadi. Kauli hiyo aliitoa mara baada ya Yanga kuingia kambini mapema wiki hii kujiandaa na mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Nabi amesema katika mchezo huo, wanakwenda…
KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Simba, Mdhamini wa Yanga, Bilionea Gharib Said Mohammed ‘GSM’,hivi karibuni alifanya kikao kizito na wachezaji wakiongozwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Katika kikao hicho ambacho kilienda sambamba na kufturu pamoja, pia benchi lote la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Kocha Mkuu, Mtunisia, Nasreddine Nabi, lilikuwepo. Hiyo ni katika kuweka…
KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ambao walikuwa wenyeji wa Yanga, matokeo yalikuwa 0-0. Tukienda kushuhudia mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Yanga wataingia wakiwa na pointi 13 zaidi…
Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea ukingoni mwa msimu wa 2021/22. Burudani ya soka siku zote inaonekana mwishoni mwa misimu, ni muda wa kuwekeana heshima viwanjani. Meridianbet tunanafasi ya kukuheshimisha zaidi kitaani kwako kwa kukupatia Odds na Bonasi kubwa kwenye…
MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba kutoka Tanzania kuchoma kitu katikati ya Uwanja ni jambo la aibu na si la kiuanamichezo. Motlanthe amesema kitendo hicho hakikubaliki na tayari kama Shirikisho tayari wameandika barua kwenda Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)…
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba wapo tayari kwa mchezo huo huku wapinzani wao wakiwa ni wa kawada tu. Kesho Aprili 30,2022 Yanga itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote zinahitaji pointi tatu muhimu. Manara amesema kuwa…
AISHI Manula, kipa namba moja wa Simba amesema maandalizi ambayo watayafanya kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga utwapa matokeo chanya. Manula kwenye ligi amekaa langoni katika mechi 16 akiwa ameyeyusha dk 1,440 na ni mabao 7 kafungwa, hajafungwa kwenye mechi 9. Msimu huu Manula kafungwa bao moja kwa mfungaji kuwa nje…
MBELE ya mashabiki 73,564 waliojitokeza Uwanja wa Old Trafford, Cristiano Ronaldo aliweza kufunga bao ambalo liliacha pointi moja kwa Manchester United. Ilikuwa dk ya 62 alisawazisha bao lililofungwa na Marcos Alonso wa Chelsea aliyefunga bao hilo dk ya 60. Hivyo wababe hao walikamilisha dakika 90 ubao ukisoma Manchester United 1-1 Chelsea. Ni Reece James wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MCHUJO mkubwa kwa sasa ambao unaendelea kwa sasa ni kwa mapilato watakaokuwa kwenye mchezo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, Uwanja wa Mkapa. Siku 2 zimebaki kwa sasa na hapa tunakuletea wale waamuzi watano ambao waliwahi kuchezesha mechi zilizowahusu Yanga na Simba na huenda jina moja likapenya kwa wale watakaochezesha dabi ijayo na…
MARA baada ya kikosi cha Simba kutua nchini, haraka Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco alifanya kikao kizito na wachezaji wake wote kambini akiwemo Mkongomani, Hennock Inonga katika kuelekea Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu kongwe za Simba dhidi ya Yanga, mchezo ambao utapigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar…