
YANGA:TUNAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa nguvu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga. Bumbuli…