STARS KAZI NI KWENU KUWAPA RAHA MASHABIKI
MAANDALIZI yamezidi kupamba moto kwa wachezaji 27 ambao waliitwa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen kwa ajili ya kuanza kujipanga kwa mechi za kimataifa ambazo ni ngumu na muhimu kupata ushindi. Kwa hilo kinachotakiwa kwa wale ambao wameitwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni kuwapa raha mashabiki ambayo ni ushindi hakuna namna nyingine….