>

RATIBA LIGI KUU BARA LEO

NOVEMBA 30 raundi ya 7 inazidi kukatika taratibu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22. Baadhi ya mechi zimechezwa na tumeshuhudia hat trick ya kwanza ikipigwa Uwanja wa Nelson Mandela, wakati Tanzania Prisons ilipocjeza na Namungo FC. Leo ratiba inaendelea ambapo itakuwa namna hii:- Biashara United ya Mara dhidi ya Polisi Tanzania…

Read More

BARBARA:WACHEZAJI WANAOMBA KUCHEZA SIMBA

WACHEZAJI wanaomba kucheza Simba MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez ameweka wazi kuwa wachezaji wengi wanaomba kucheza ndani ya kikosi cha timu hiyo. Kwa sasa Simba ni timu pekee ambayo inakibarua cha kupeperusha bendera kimataifa ikiwa inashiriki Kombe la Shirikisho baada ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wake wa kwanza katika Kombe la…

Read More

YANGA YAINGIA ANGA ZA MSHAMBULIAJI HUYU MATATA

  IMEELEZWA kuwa mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Mbeya Kwanza, Chrispin Ngush jina lake limependekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi aweze kusajiliwa. Inatajwa kwamba kamati ya Usajili ya Yanga nayo pia haijapinga hoja hiyo na badala yake imeweka watu maalumu kwa ajili ya kumfuatilia nyota huyo Ngushi ni kinara wa mabao…

Read More

VIERA ACHAPWA BAADA YA MECHI SABA

PATRICK Viera, Kocha Mkuu wa Crystal Palace alikuwa na wakati mgumu baada ya kunyooshwa kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu England ikiwa ni baada ya kucheza mechi saba bila kufungwa. Ilikuwa ni Novemba 27 ambapo alishuhudia Uwanja wa Selhurst Park ukisoma Crystal Palace 1-2 Aston Villa ambayo inanolewa na Steven Gerrad. Vieira amekuwa…

Read More

YANGA HAWATAKI KABISA DENI WAMALIZANA NA MORRISON

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa tayari umemlipa kiungo wao zamani Mghana, Bernard Morrison faini ya Sh12Mil kutoka Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ‘CAS’ huku ukiwataka mashabiki wa timu hiyo kupotezea majibu ya hukumu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu CAS itangaze hukumu ya Morisson na Yanga ambayo ilishindwa huku ikitakiwa kumlipa kitita cha Swis 5,000 (Sh12,396,787). Katika hukumu hiyo iliyokuwa na kurasa 29 imeeleza kuwa ushahidi uliotolewa na…

Read More

VIWANJA VYETU BADO TATIZO, MABORESHO MUHIMU

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara na Championship zikizidi kupasua anga kuna tatizo jingine ambalo linazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2021/22 kila kona kumekuwa na hamasa kwa ajili ya kuona kwamba kila timu inapata matokeo lakini sehemu za kuchezea asilimia 70 bado hazijawa bora. Mpaka sasa kwa…

Read More

DUH! RONALDO AAMBIWA NI MZEE SANA

MASHABIKI wa Manchester United wameanza kuwa na hofu kubwa siku chache kabla kocha mpya hajaanza kufundisha timu hiyo ambayo jana ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. United inatarajiwa kufundishwa na kocha Ralf Rangnick ambaye anatarajiwa kukaa kwenye timu hiyo hadi mwisho wa msimu wa 2021/22. Kocha…

Read More

DAKIKA 45 SIMBA WATAWALA KWA MKAPA NA KUTUPIA MBILI

UWANJA wa Mkapa leo Novemba 28 katika dakika 45 za kwanza Simba wanaongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia. Umakini hafifu wa Simba unawafanya waende chumba cha kubadilishia nguo wakiongoza kwa mabao mawili jambo ambalo linawapa ugumu kuweza kulinda ushindi huo ambao una ushindani mkubwa. Mabao ya Simba yamefungwa na Bernard Morrison…

Read More

KIDUNDA AFUNGUKIA KUHUSU UCHAWI KWENYE NGUMI

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’, Sajenti Seleman Kidunda amefichua kuwa kama kuna bondia anaamini uchawi unasaidia kwenye kupigana basi atamruhusu aende akaloge halafu akakutane na mziki wake. Kidunda hivi karibuni amepandishwa cheo kutoka Koplo hadi Sajenti kwa sasa anajiandaa na pambano lake la ubingwa wa dunia ‘WBF’ dhidi ya Tshimanga Katompa kutoka DR Congo katika Pambano la Usiku wa Mabingwa litakalopigwa Desemba…

Read More