
SIMBA YATAJA MECHI NGUMU KIMATAIFA
MOHAMED Hussein Zimbwe Jr, beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba amesema kuwa mechi ambayo kwenye hatua ya makundi kwao anaamini ilikuwa na ushindani mkubwa ni ile dhidi ya ASEC Mimosas. Kwa sasa Simba imeweza kutinga hatua ya robo fainali na inasubiri kujua itamenyana na timu ipi baada ya droo kupangwa ya Kombe…